Sanaa maridadi ya Kiafrika inayochekesha na kushangaza.
Tumeshazoea hadithi za kutoka nje zikieleza Afrika kama sehemu ya vita, umasikini na uharibifu, anasema Wanuri Kahiu ambaye ni mwenza wa TED. Furaha ipo wapi? Anatambulisha "AfroBubbleGum" -- Sanaa ya Afrika ambayo inasisimua, yenye kufurahisha na isiyo na mjadala wa kisiasa. Kuwaza tena thamani ya mambo ambayo si makubwa. Kama anavyoelezea Kahiu kwa nini tunahitaji sanaa ambayo inagusa sehemu yote ya mapitio mwanadamu ili kuelezea hadithi za Afrika.

