Unapowajulisha wanawake, unabadilisha maisha
588,041 plays|
Paige Alexander |
TEDWomen 2023
• October 2023
Upatikanaji wa habari ni ufunguo wa kufungua haki za binadamu kwa wote, anasema mwanaharakati wa usawa, Paige Alexander. Kutoka kuelimisha wajasiriamali wanawake jinsi ya kuanzisha biashara zinazoendeleza maisha hadi kwenye michoro, matangazo ya bili na njia nyingine za ubunifu za kushiriki rasilimali muhimu, Alexander anaelezea jinsi yeye na timu yake katika Kituo cha Carter wanavyowasilisha watu kwa habari wanayohitaji — wakati wanapoihitaji zaidi.